October 7, 2017


Nahodha wa Brazil, Neymar na wenzake wameendelea na mazoezi huku wakijiburudisha na mchezo wa Teqball.

Mchezo huo ni ule unaotumia mpira katika katika meza maarufu kama table tennis ambavyo huchezwa.

Hivi karibuni, wachezaji wa Brazil walikuwa katika wakati mgumu wakati waliposhindwa kupumua vizuri kutokana na uzito wa hewa wakati wakiivaa Bolivia hali iliyosababisha waongezewe hewa.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic