October 7, 2017


Hispania imeutwanga Albania na kuwa na uhakika wa kucheza Kombe la `Dunia kwa zaidi ya asilimia mia.

Lakini mashabiki wa Hispania wameonyesha hisia za kisiasa baada ya kumzomea beki wao Gerard Pique ambaye ni beki wa FC Barcelona.


Pique ameonysha msimamo wake wazi kuhusu Calatonia kujitenga na Hispania, jambo ambalo linaonekana kuwaudhi wengi wasiopenda mgawanyiko huo.

Baadaye, kocha alilazimika kumtoa Pique na nafasi yake kuchukuliwa na Nacho.

SPAIN (4-3-3): De Gea; Odriozola, Ramos, Pique, Alba; Saul, Koke, Thiago; Silva, Rodrigo, Isco.
SUBS: Asensio, Nacho, Azpilicueta, Reina, Pedro, Monreal, Viera, Aspas, Callejon, Illarramendi, Kepa, Aduriz.
GOALS: Rodrigo, Isco, Thiago 


ALBANIA (4-3-3): Berisha; Hysaj, Ajeti, Veseli, Balliu; Memushaj, Xhaka, Kace; Grezda, Llullaku, Memolla.
SUBS: Basha, Lia, Ahmedi, Kolici, Ndoj, Lenjani, Latifi, Agolli, Sadiku, Djimsiti, Hoxha.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic