October 16, 2017


Baada ya safe ya bao 0-0 dhidi ya Manchester United, kikosi cha Liverpool limetua nchini Slovenia kuwabaa Maribor katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kesho.

Liverpool ambao walikuwa nyumbani, walionyesha soka safi lakini wakashindwa kuibuka na ushindi.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic