October 16, 2017



Manchester United wametua nchini Ureno tayari kuivaa Benfica katika mechi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulayam keshokutwa.

Mechi hiyo itapigwa kesho, Man United wakiwa ugenini lakini watakuwa na kumbukumbu ya sare ya bila mabao dhidi ya Liverpool katika Ligi Kuu England.

Man United haikuonyesha soka la kuvutia au ilivyotegemewa na wengi na sasa inaonekana wana kazi ya kuinua matumaini ya mashabiki yao kwa kushinda Ureno.













0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic