October 8, 2017


Chris Eubank Jr amkata mzizi wa fitina kwa kumtwanga Avni Yildirim kwa KO katika raundi ya tatu.

Yildirim ana asili ya Uturuki na kulikuwa na vurugu kubwa siku moja kabla ya pambano hilo na Jamii ya Waturuki waishio Stuttgart Ujerumani walituhumiwa kufanya vurugu kubwa.


Lakini mwisho, Eubank Jr akaonyesha kiwango cha juu na kumchakaza mpinzani wake mapema kabisa. 


Awali mpinzani wake huyo alitamba kuwa angemmaliza mapema kabisa Eubank na kufunga mdomo wake lakini mambo yakawa tofauti kabisa.
Angalia picha za action. 











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic