October 10, 2017


Iceland wamefanikiwa kufuzu kucheza Kombe la Dunia mwakani nchini Russia.

Iceland imekuwa ndiyo nchi ndogo zaidi kufuzu Kombe la Dunia.

Wamefanikiwa kufuzu baada ya kuitwanga Kosovo kwa mabao 2-0 baada ya mabao ya Gylfi Sigurdsson na Johann Gudmundsson.


Iceland ina idadi ya wakazi  350,000 tu wakati kabla nchi yenye watu wachache iliyofuzu ilikuwa ni Trinidad & Tobago ambayo ilifuzu mwaka   2006. Idadi ya wakazi wake ni watu milioni 1.3.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic