October 2, 2017



Kocha wa makipa wa zamani wa Simba, ametoa mafunzo ya bure kwa vijana wa Mombasa nchi Kenya.

Iddi Salim ambaye pia aliwahi kuwa kocha wa makipa wa timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars pia ametoa zawadi ya vifaa kwa baadhi ya wachezaji watoto.


“Niliamua kutoa mafunzo hayo maalum kwa watoto na vijana wenye vipaji vya kipa,” alisema.

“Nimepata watoto wenye vipaji wenye umri wa miaka 12, 13 na 15 ambao ninaamini watafanya vema sana.”

Salim ni mmoja wa makocha wa makipa wenye mafunzo kutoka Shirikisho la Soka la Ulaya (Uefa).





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic