October 12, 2017


Mshambuliaji wa Leicester City, Mohamed Musa amefungua kituo cha mafuta kwao nchini Nigeria.

Musa ameamua kuwa mfanyabiashara wa mafuta baada ya kufungua kituo chake katika miji wa Kano.

Musa amesema amefungua biashara hiyo kwamba ataiendeleza na baada ya kustaafu soka atajikita zaidi katika uuzaji wa mafuta.




Mshambuliaji wa Leicester City, Mohamed Musa amefungua kituo cha mafuta kwao nchini Nigeria.


Musa ameamua kuwa mfanyabiashara wa mafuta baada ya kufungua kituo chake katika mii wa Kano.





1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic