October 12, 2017


Kamani ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imemsimisha beki wa Majimaji, Juma Salamba mechi tatu za Ligi Kuu Bara.

Taarifa zinaeleza Salamba amefungiwa mechi tatu kutokana na kitendo cha kumpiga kiwiko kiungo wa Yanga, Emmanuel Martin.


Salamba amepatikana na hatia baada ya tukio hilo la kumpiga kiwiko Martin katika mechi ambayo iliisha kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea.

1 COMMENTS:

  1. Sawa mmemfungia Juma salamba kwa kumpiga kiwiko Emmanuel Martine wa Yanga vipi Kuhusu Raphael Daud aliyempiga Asante kwasi na kumuumiza lakini kadi bado akapewa Kwasi sijasikia adhabu kwa Rapahael wala waamuzi waliouchezesha mchezo ule au kwakua Yanga ni timu kongwe kiumri?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic