October 5, 2017



Mmoja wa uwanja wa Nizhny Novgorod umeshika moto.
Uwanja huo ni kati ya viwanja 12 vitakavyotumiwa katika Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Russia.
Imeelezwa uwanja huo ulishika moto wakati mafundi wakiwa wanachomelea katika kukamilisha ujenzi.

Hata hivyo, baadaye moto huo ulizimwa vizuri uwanjani hapo bila ya kuleta madhara yoyote.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic