October 5, 2017


Wakati kumekuwa na taarifa kuwa Mesut Ozil ataondoka Arsenal na kujiunga na Man United, yeye ameonekana na mawazo tofauti kabisa.

Ozil ambaye alikuwa majeruhi ameonekana akijifua vilivyo gym.


Mara ya mwisho Ozil aliichezea mechi ya mwisho akiwa na Arsenal ilipoishinda Wes Brom na tokea hapo amekuwa akipambana kurejea katika kiwango chake.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic