October 19, 2017


Kocha msaidizi moya wa Simba, Djuma Masoud ametua Simba na kuanza kazi moja kwa moja.
Masoud raia wa Burundi alipokelewa kwa bashasha ikiwa ni pamoja na kuwasalimia memba wa benchi la ufundi.
Lakini akatumia muda wake mwingi akisalimiana na Haruna Niyonzima ambaye alizichezea Rayon Sports na APR kwa nyakati tofauti.
APR ndiyo timu iliyomtangaza Masoud wakati akiwa mchezaji lakini Rayon ndiyo timu iliyolitangaza jina lake kama kocha baada ya kupata mafanikio makubwa.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic