October 29, 2017




Yanga waliokuwa wenyeji kwenye Uwanja wa Uhuru katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, wamesawazisha bao dakika 3 tu baada ya kufungwa na kufanya mechi iishe kwa sare ya mabao 1-1.

Sare hiyo imewafurahisha mashabiki wa Yanga ambao mwanzo walionekana kama wamenywea huku wenzao wa Simba wakiwa wanajiamini kwamba watashinda kwa uhakika mechi hiyo.

Picha za action zikionyesha action za mchezo huo.













0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic