October 5, 2017



Kikosi cha Taifa Stars chini ya Kocha Salum Mayanga kimeendelea kujifua kujindaa kuivaa Malawi katika mechi ya kalenda ya Fifa, mechi itakayopigwa Jumamosi.

Tayari nahodha Mbwana Samatta na wachezaji wengine wanaocheza nje ya Tanzania kama Saimon Msuva na Abdi Banda wameishawasili nchini.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic