October 5, 2017



Kikosi cha Yanga kitashuka dimbani Jumapili kuwavaa KMC katika mechi ya kirafiki itakayopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam.

Mechi hiyo itaanza saa 1 usiku kwenye Uwanja huo ambao uko nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

Kocha George Lwandamina anatarajia kuwatumia wachezaji wakiwemo wengi ambao wamekuwa hawapati nafasi ya kucheza katika Ligi Kuu Bara.


Yanga imeamua kuitumia mechi hiyo ya kirafiki kama mazoezi lakini kumpa nafasi Lwandamina raia wa Zambia kuendelea kukipanga kikosi chake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic