November 14, 2017




Uongozi wa klabu ya Simba umeamua kukutana na beki Shomari Kapombe kulimaliza suala la kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Zacharia Hans Poppe.

Hans Poppe alisema anahitaji kuona Kapombe acheze mpira kwa kuwa amekuwa majeruhi kwa muda mrefu huku akiamini mchezaji huyo amepona.

Kauli hiyo ya Hans Poppe ilizua mjadala mkubwa sana mkubwa sana huku mashabiki wakionyesha kukasirishwa.

Taarifa kutoka ndani ya Simba, zimeeleza, Kapombe atakutana na kaimu Rais wa Simba au kaimu Makamu wa Simba, Iddi Kajuna kulimaliza suala hilo.


1 COMMENTS:

  1. Come back strong Kapombe. Hans Pop sometimes anazingua sana, amesababisha Ajib akaenda Yanga kwa arrogance yake. Katuletea strikers wabovu akaacha mtu mwenye uhakika wa angalau goli 7 akitokea benchi. Mpira wa sasa unahitaji uwekezaji usiosikilizia faida za haraka.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic