November 14, 2017


Said Hamis Ndemla ameanza majaribio katika kikosi cha AFC nchini Sweden.

Picha ya kwanza ya Ndemla kutoka Simba akiwa ameanza majaribio katika kikosi cha timu hiyo, hii hapa.

Ndemla anaonekana akiwa pamoja na mshambuliaji nyota wa AFCm Buyaka Turay raua wa Sierra Leone. Mwingine ni mchezaji wa timu hiyo.

AFC ambayo anaichezea Thomas Ulimwengu imempa Ndemla majaribio ya siku 14 kuonyesha alichonacho na kuwashawishi makocha.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic