HAWA JAMAA WALIOFUNGWA NA CHELSEA, ANGALIA WALIVYOANDIKA MAJINA Chelsea imeitwanga Qarabag kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Timu hiyo inatokea nchini Azerbaijan. Hao jamaa waliamua kuyaandika majina ya wachezaji wa Chelsea kwa lugha yao. Basi raha tu.
0 COMMENTS:
Post a Comment