November 8, 2017




L



Lionel Messi anajulikana kwa umahiri wake uwanjani lakini anapopata nafasi ya kupumzika ni shabiki mkubwa wa muziki.

Messi raia wa Argentina, anavutiwa zaidi na muziki kutoka Amerika ya Kusini.

Zifuatazo ni nyimbo 12 anazozipenda zaidi Messi.

1. Ay Vamos - J. Balvin
2. The question - J Álvarez
3. Kiss you - Prince Royce
4. When he starts dancing - Rombai
5. You without me - Drear Mar I
6. Labyrinths - Drear Mar I
7. Beyond your eyes - Drear Mar I
8. 24K Magic - Bruno Mars
9. Safari - J Balvin
10. Picky - Joey Montana
11. The Loser - Maluma

12. Until dawn - Nicky

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic