November 14, 2017








Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo, kikosi hicho kilionkeana kujaza wachezaji wengi zaidi vijana walio katika kikosi cha Yanga.

Vijana hao walionekana kunogesha mazoezi hayo kutokana na kushiriki kwa juhudi.

Yanga inajiandaa kuivaa Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Jumamosi.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic