November 14, 2017


Kiungo wa Simba, Said Hamis Ndemla ameanza majaribio jana katika kikosi cha AFC ya Sweden.

Ndemla raia wa Tanzania, anatarajia kuendelea na majaribio hayo ya siku 14 leo lakini kuna siku mbili atalazimika kusimama.

“Siku mbili hatafanya majaribio kwa kuwa timu yake itakuwa na mechi mbili za mwisho za ligi,” alieleza msimamizi wake.


“Siku za mechi ataungana na wenzake ambao watakuwa hawachezi kushuhudia. Timu yake inapambana kuepuka kuteremka daraja.”

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic