November 29, 2017




Makundi 2017 Cecafa Challenge Cup
Kundi A: Kenya, Libya, Rwanda, Tanzania, Zanzibar.

Kundi B: Uganda, Zimbabwe, Burundi, Ethiopia, South Sudan.

Ratiba ya michuano hiyo mwaka huu ni kama ifuatavyo:
Desemba 3, 2017
Kundi A
Libya vs Tanzania
Kenya vs Rwanda

Desemba 4, 2017
Kundi B
Burundi vs Ethiopia
Uganda vs Zimbabwe
Desemba 5, 2017
Kundi A
Zanzibar vs Rwanda
Kenya vs Libya
Desemba 6, 2017
Kundi B
Sudan Kusini vs Zimbabwe
Uganda vs Burundi

Desemba 7, 2017
Tanzania vs Zanzibar
Rwanda vs Libya

Desemba 8, 2017
Kundi B
Sudan Kusini vs Ethiopia
Zimbabwe vs Burundi

Desemba 9, 2017
Kundi A
Rwanda vs Tanzania
Kenya vs Zanzibar
Desemba 10, 2017
Kundi B

Sudan Kusini vs Burundi
Ethiopia vs Uganda

Desemba 11, 2017
Kundi A
Libya vs Zanzibar
Kenya vs Tanzania

Desemba 12, 2017
Kundi B
Uganda vs Sudan Kusini
Zimbabwe vs Ethiopia

Desemba 13, 2017
Mapumziko
Desemba 14, 2017
Nusu fainali 1 (Mshindi Kundi A vs Mshindi wa pili Kundi B)
Desemba 15, 2017

Nusu fainali 2 (Mshindi Kundi B vs Mshindi wa pili kundi A)
Desemba 16, 2017

Mapumziko
Desemba 17, 2017

Mshindi wa Tatu & Fainali

2 COMMENTS:

  1. Zimbabwe imejitoa halafu bado iko kwenye ratiba!!! mbona hamsomeki

    ReplyDelete
  2. Mbona Haueleweki, Umeandik Baada Ya Zimbabwe Kujitoa Halafu Zimbabwe Ipo Kweny Makund Na Ratiba

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic