November 14, 2017



 Hii itakuwa LIVE Clouds FM leo Salehjembe akichezesha droo kumpata mshindi wa 20 Bajaj aina TBV King Deluxe itakayotolewa kwa mshindi wa SHINDA NA SPORTPESA...endelea kubashiri na @tzsportpesa inawezekana ukawa WEWE

Tayari Bajaj 19 aina ya TVS King Deluxe zimeishatolewa kwa washindi 19. Leo atapatikana mshindi wa 20 wakati droo hiyo itakapochezwa saa 1:20 usiku (saa moja na dakika ishiriki) na itarushwa MUBASHARAA NA kituo maarufu cha runinga cha Clouds FM.

Unachotakiwa ni kuendelea kucheza, hauwezi kujua. Inawezekana ukawa ni wewe, hivyo changamka ndugu yangu. Bashiri na SportPesa na unaweza kuwa ndiyo mshindi wa 20. Usiiache, hii ni fursa, ITUMIE.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic