November 13, 2017

PICHA: SHUKURANI KWA SAMATTA


Mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta ameanza kutembea lakini akitumia fimbo maalum.

Samatta alifanyiwa upasuaji wa goti siku chache zilizopita baada ya kuumia wakati akiitumikia KRC Genk.

Samatta ameonekana akiwa na fimbo mbili huku goti lake likiwa limefungwa kifaa maalum ambacho hutumika kama bandeji ngumu hapa nyumbani maarufu kama POP.


Taarifa za awali za daktari zilieleza atakaa nje kwa wiki sita akijiuguza kabla ya kurejea uwanjani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic