November 21, 2017



TSHISHIMBI

Viungo wawili nyota wa Yanga, Thabani Kamusoko na Papy Tshishimbi, wameshindwa kufanya mazoezi tena leo.

Kamusoko raia wa Zimbabwe na Tshishimbi kutoka DR Congo, wametokea katika mazoezi ya Yanga kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, lakini hawakufanya mazoezi.

Hivi punde, Yanga inaendelea na mazoezi lakini wawili hao wako nje kutokana na kuwa majeruhi.


Kamusoko amekuwa majeruhi kipindi cha zaidi ya mwezi sasa wakati Tshishimbi aliikosa mechi iliyopita, Yanga ikiitwanga Mbeya City kwa mabao 5-0 baada ya kuumia enka.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic