Beki wa kati wa Yanga, Kelvin Yodani aliyekuwa majeruhi, ameanza mazoezi leo.
Yondani ameanza mazoezi pamoja na wenzake kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Beki huyo kisiki, alikosa mechi dhidi ya Mbeya City ambayo kikosi chake kwa ushindi wa mabao 5-0.
Lakini Yondani alionekana yuko akifanya mazoezi na wenzake.
0 COMMENTS:
Post a Comment