November 14, 2017




Kikosi cha Yanga kinaanza mazoezi ya uwanjani leo baada ya mapumziko ya siku mbili.

Yanga inajiandaa na mchezaji wake ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City ambayo mechi yake ya mwisho ililala kwa bao 1-0 dhidi ya Simba.

Yanga walianza mazoezi ya gym jana wakiwa wanatokea katika mapumziko ya siku mbili.


Yanga watafanya mazoezi kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam huku wakiwa na wachezaji wao, Obrey Chirwa na Papy Thishimbi ambao walisimama mazoezi kwa siku kadhaa kutokana na kuwa majeruhi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic