Mwanachama wa klabu ya Simba, Bi Hindu ametangaza kubadili msimamo wake na kuungana na wale wanaounga mkono ya uwekezaji ndani ya klabu hiyo.
Bi Hindu amewaambia waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, kwamba ameamua kubadilika.
"Nimeamua kubadilika baada ya wao kuamua kuja kunielezea nyumbani kwangu mara tatu kuhusiana na kile nisichokijua.
"Awali nilikuwa ninapinga kitu nisichokichujua, nilidhani tukimkabidho Mo ndiyo basi. Lakini nimeeleshwa kwamba wanachama nasi tuna chetu na nguvu yetu.
"Lakini Mo amekuwa mdhamini wetu tokea akiwa kijana mdogo na hadi leo ameendelea kuipenda Simba na kuisaidia. Hivyo ninaunga mkono mabadiliko na tuko pamoja," alisema.
Baadaye Bi Hindu alikwenda kuzungumza na Mo Dewji na kumueleza uamuzi wake wa kubadili alichokuwa akikizungumzia awali na ilivyo sasa.

0 COMMENTS:
Post a Comment