December 23, 2017



Msemaji wa Simba, Haji Manara ameweka mbwembwe pembeni na kueleza maumivu yake baada ya kikosi cha Simba kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Shirikisho na timu ya daraja la pili.

Manara ameandika mtandaoni akieleza maumivu hayo baada ya Simba kuvuliwa ubingwa kwa mikwaju ya penalti na Green Worrioes inayoshiriki Ligi Daraja la Pili.


Simba ilikwenda sare ya 1-1 dhidi ya timu hiyo na ilipowadia changamoto ya mikwaju ya penalti, ikalowa kwa 4-3. 


2 COMMENTS:

  1. fukuzeni kochaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Kweli yule kocha ni tatizo afukuzwe tuu..kila siku anasajiliwa wachezaji lakini wapi

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic