December 29, 2017






Hatimaye Kocha Joseph Omog amemalizana na uongozi wa Simba na kuondoka nchini kurejea kwao Cameroon.

Omog ameondoka leo na ndege ya Shirikisho la Soka la Kenya kupitia Nairobi kwenda jijini Younde.

Kocha huyo alionekana ni mwenye furaha na baadhi ya mashabiki walikuwa wakimuaga na kumueleza kwamba watamkumbuka.


Muda mwingi Omog ambaye aliipa ubingwa wa Kombe la Shirikisho kabla ya kuvuliwa na kumleta matatizo, alionekana akiwajibu mashabiki hao kwa kuwapungia mkono na tabasamu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic