December 13, 2017





Aliyewahi kuwa kocha Simba, Zradkov Logarusic ametangazwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Sudan.


Logarusic ambaye pia aliwahi kuinoa Gor Mahia na AFC Leopards, zote za Kenya ametangazwa kuwa kocha mkuu wa Sudan.



Kazi kubwa ya Loga raia wa Croatia itakuwa ni kuhakikisha Sudan inafanya vizuri katika michuano ya kuwania kufuzu kucheza Kombe la Mataifa Afrika, michuano hiyo ya awali kuwania kufuzu itaanza mwakani.

Mara ya mwisho, Loga alikuwa akiinoa Asante Kotoko ya Ghana ambayo alikuwa amerejea baada ya kuondoka Kenya.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic