December 14, 2017



Kocha George Lwandamina ameamua kutoa mapumziko ya siku moja au saa 24 kwa kikosi chake.

Kocha huyo raia Zambia, ameamua kukipumzisha kikosi chake baada ya mazoezi mfululizo.

Baada ya siku moja ya kupumzisha kikosi chake, Yanga itarejea kazini tena kesho kuendelea kujifua.


Katika kipindi hiki timu hizi zimekuwa zikifanya mazoezi huku zikisubiri kuanza tena kwa Ligi Kuu Bara.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic