December 31, 2017

Man City imeambulia suluhu 0-0 baada ya kushindwa kupata ushindi wa 19 mfululizo katika Premier League.

Baada ya kushinda mechi mfululizo, wababe wa England, Manchester City wamezuiwa kupata ushindi kakatika kipute dhidi ya Crystal Palace.

Kwa matokeo hayo Man City imeendelea kubaki kileleni ikiwa na pointi 59 huku ikilazimika kuokoa penati katika dakika ya 90 ambapo kipa Ederson aliipangua penati ya Luka Milivojevic.

Katika mchezo huo Man City iliwapoteza wachezaji wake wawili Gabriel Jesus ambaye aliangua kilio baada ya kuumia pamoja na Kevin de Bruyne ambaye naye aliumia.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic