December 31, 2017


LIMONGA JUSTINE WAKATI WA UHAI WAKE.

Mtangazaji maarufu wa michezo, Limonga Justine Limonga amefariki leo katika hospitali ya TMJ.

Limonga aliyekuwa mtangazaji maarufu katika redio Uhuru amefariki baada ya kulazwa siku mbili.

Mara ya mwisho, Limonga alionekana akiwa na wahariri wa michezo katika mkutano uliowakutanisha na Rais wa TFF, Wallace Karia.


Taarifa zinaeleza, msiba utakuwa kwake Mbagala Kipati jijini Dar es Salaam na juhudi zilikuwa zinafanyika kuuhamisha mwili wake kutoka Hospitali ya TMJ hadi Hospitali ya Temeke.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic