December 26, 2017






WAKATI promosheni ya ‘Shinda na Sportpesa’ ikiendelea kushika kasi, kampuni ya Sportpesa inaendelea kubadilisha maisha ya wateja ake wanashiriki kwenye promosheni hiyo.


Wakati ikiwa tayari washindi 62 wameshajinyakulia zawadi ya bajaji aina ya TVS King zinazotolewa kwa washindi kwenye promosheni hiyo, baadhi yao wamefunguka namna promosheni hiyo ilivyowabadilishia maisha yao.


Said Mkwati, ambaye ni mshindi wa promosheni ya 48, akizungumza wakati akikabidhiwa zawadi yake hiyo alisema kuwa kushinda bajaji hiyo kutamfanya kumuongezea kipato.

"Nilishawishika kucheza na SportPesa baada ya kuona matangazo, na mwisho wa siku nikabahatika kushinda bajaji.

,bajaji hii itaniongezea kipato kwa sababunitaitumia kama biashara, nawashukuru sana Sportpesa,” alisemaMkwati.

"Mara nyingi huwa natumia SportPesa App kwasababu ni nyepesi zaidi katika kuweka ubashiri. Nachowahamasisha watu ni kucheza na SportPesa kwa wingi, bahati zao zipo. 

Halafu vile vile nataka kuwaondoa uoga watu kuwa wasiamini kuwa michezo hii kuna kupeana,” aliongezea kusema.

Aidha, Godfrey Kayuga, ambaye ni mshindi wa droo ya 43, alisema kuwa hakuwa kufikilia sikumoja atamiliki bajaji yake ,lakini Sportpesa imemfanikishia jambo hilo.


"Nilikuwa naangalia televisheni nikaona kuna mshindi amepatikana kutoka Iringa, nikahamasika ikanibidi na mimi nijifunze kucheza mwisho wa siku nikapigiwa simu na watu wa SportPesa kwamba nimekuwa mshindi, kwakweli sikuamini ila nimekuja kuamini baada ya walengwa kuja nyumbani kunikabidhi Bajaji"


"Mimi ni Baba wa watoto wanne na mara nyingi huwa nakuwa mbali na familia yangu, kupitia hii Bajaji nitaongeza kipato changu na itaisaidia familia yangu kwenye masuala ya familia na mboga mboga." alisema Kayunga.

Mshindi wa droo ya 32, Jackson Mwanzalima mkazi wa Musoma, alielezea kuwa licha ya kuwa na biashara ya duka,kupatiwa bajaji hiyo kutamfanya saa kuongeza kipato chake mara dufu.


Jackson alieleza kuwa yeye huwa anaweka ubashiri wake mpaka saa saba za usiku.

“Kwanza sikuamini nilipopigiwa simu na watu waSportpesa, ila nilipokabidhiwa bajaji yangu ndio niliamini, watu wasidharau zawadi zipo, kwa sasa nina uhakika wa kipato changu kwa sababu nimeongezew biashara nyingine hii ya bajaji,” alisema.


SportPesa inazidi kuwahakikishia Watanzania kuwa TVS King Deluxe za Shinda na SportPesa bado zipo, na mtu anaweza kuwa mshindi kesho kwa kutuma neno GAME kwenda 15888, kisha kufuata maelekezo yanayofuata. 


Mara baada ya kuweka ubashiri kwa njia yoyote ile, unatakiwa kutuma neno SHINDA kwenda 15888 ili uweze kuingia kwenye droo ya kujishindia TVS King Deluxe mpya kabisa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic