Kipa Said Mohamed 'Nduda', atarejea uwanjani baada ya wiki mbili.
Nduda ambaye alifanyiwa upasuaji nchini India, tayari amefikisha wiki nane akiwa nje ya uwanja.
"Alitakiwa kuwa nje kwa wiki kumi, sasa ana wiki nane," kilieleza chanzo.
Nduda aliyejiunga na Simba akitokea Mtibwa Sugar, hajaitumikia hata mechi moja baada ya kuumia akiwa mazoezini.
0 COMMENTS:
Post a Comment