Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewaachia huru wanamuziki maarufu nchini, Papii Nguza na baba yake mzazi, Nguza Viking.
Papii na baba yake walikuwa wakitumikia kifungo cha maisha walipopatikana na hatia ya kuwabaka watoto.
Magufuli akiwa katika kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania, sherehe zinazofanyika kitaifa mjini Dodoma, leo, ametangaza kuwaachia huru akisema wawe huru kuanzia leo.
0 COMMENTS:
Post a Comment