TASWIRA; KIKOSI CHA YANGA KILIVYOREJEA MAZOEZINI UWANJA WA UHURU Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Yanga wamerejea kwenye mazoezi baada ya siku moja ya mapumziko iliyotolewa na Kocha George Lwandamina.
0 COMMENTS:
Post a Comment