December 20, 2017




Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi yake leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Leo ni siku ya pili Yanga wakiwa wamerejea mazoezini baada ya kuanza tena jana wakitokea mapumzikoni.

Wachezaji wa Yanga walipewa mapumziko ya siku moja baada ya mechi yao dhidi ya Polisi Tanzania.

Leo walifanya mazoezi ya kuzunguka uwanja kwa ajili ya uimara na pumzi kabla ya kuingia katika mazoezi ya mafunzo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic