Kiungo Thabani Kamusoko wa Yanga, leo amerejea mazoezini na kuungana na wenzake.
Kamusoko ameungana na wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini kwenye Uwanja wa Uhuru na kuanza mazoezi mepesi.
Yanga imemkosea kiungo huyo mkongwe raia wa Zimbabwe kwa takribani miezi mitatu sasa.
Kamusoko alifanya mazoezi mepesi wakati wenzake wakiendelea na mazoezi.
0 COMMENTS:
Post a Comment