December 7, 2017



Zanzibar Heroes imeonyesha si ya mchezomchezo baada ya kuitwanga Kilimanjaro Stars kwa mabao 2-1 katika michuano ya Chalenji inayoendelea nchini Kenya.


Zanzibar walistahili kushinda mechi hiyo kutokana na kuonyesha kiwango bora kuanzia mwanzo mwa mchezo huo.

Himid Mao alifunga bao la Kili Stars katika dakika ya 28 na upande wa Zanzibar Heroes K. Hamis katika dakika ya 67 kabla ya Ibrahim Ahamada kumaliza kazi katika dakika ya 77.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic