January 29, 2018


Baada ya familia ya mshambuliaji Olivier Giroud kugoma kwenda Ujerumani baada kusikia anatakiwa kujiunga na Borussia Dortmund, sasa Chelsea nayo imetupa ndoano.

Chelsea imeweka dau la pauni milioni 35 kama itawezekana imsajili Giroud kutoka Arsenal.

Katika mazoezi ya leo ya Arsenal, Goroud alioenekana kujadili jambo kwa muda mrefu na kocha wake, Arsene Wenger.

Arsenal iko katika hatua za mwisho kumpata Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Dortmund na inaonekana itakuwa ni nafasi ndogo sana kwa Giroud kucheza.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic