January 2, 2018

 


Mshambuliaji Diego Costa ameanza mazoezi yake ya nguvu kuhakikisha anarejea katika kiwango kilicho sahihi.

Costa amerejea Atletico Madrid akitokea Chelsea ambako alikorofishana na Kocha Antonie Conte ambaye alisema hamhitaji katika kikosi.

Costa amekuwa akifanya mazoezi kwa nguvu akionyesha amepania kurejea kwa kishindo.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic