January 12, 2018


Kiungo mpya wa FC Barcelona, Philippe Coutinho ameendelea na mazoezi mfululizo kuhakikisha anakuwa fiti akitokea katika majeraha.

Coutinho aliyejiunga na FC Barcelona kwa kitita cha pauni million 145, ameonekana akijifua uwanjani, gym na uwanja maalum wa mchanga uliopo La Masia ambayo ni sehemu maalum ya mazoezi ya kikosi cha FC Barcelona.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic