January 12, 2018



Mastaa wa soka kibao walijitokeza katika mechi ya mpira wa kikapu ligi ya NBA iliyopigwa kwenye Dimba la 02 Arena jijini London.
Kocha wa zamani wa Man United, Alex Ferguson naye alikuwepo lakini kivutio kilikuwa ni pale nyota wa Chelsea, Eden Hazard alipokutana na nyota wa zamani wa NBA, Dikembe Mutombo kutokana na maumbo ya wawili huo.

Nyota wengine kibao walijitokeza na Boston Celtics ilikutana na kipigo cha mabao 114-103 kutoka kwa Philadelphia 76ers.
Nyota wa Man City kama Ilkay Gundogan na Kevin De Bruyne.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic