January 24, 2018




Nyota wa mpira wa kikapu Marekani na duniani kote, LeBron James amefikisha pointi 30,000 katika mchezo huo na kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufikia idadi hiyo.

Kiwango hicho cha James kufikisha pointi hizo maana yake amefikia kwenye kundi walilo wakali kama akina mkongwe Kobe Brayant na wenzake akina Michael Jordan.


James alifikisha idadi hiyo wakati timu yake ya Cleveland Cavaliers ikipoteza kwa pointi 114-102 dhidi ya San Antonio Spurs.


WACHEZAJI 7 WALIOFUNGA POINTI 30,000 NBA:
Kareem Abdul-Jabbar (38,387)
Karl Malone (36,928)
Kobe Brayant (33,643)
Michael Jordan (32,292
Wilt Chamberlain (31,419)
Dirk Nowitzki (30,837)
LeBron James (30,000)



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic