January 28, 2018



Pamoja na kipa Razak Abalora kupewa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa Azam FC, jana siku haikuwa nzuri kwake.

Razak alijikuta akiwa sehemu ya makosa ya mabao mawili ya Yanga yaliyoifanya ishindi 2-1 dhidi ya Azam FC.

Bao la kwanza lilifungwa na Obrey Chirwa ambaye alitokea mbali na kuuwahi mpira dhidi ya kipa huyo raia wa Ghana kabla ya kuukwamisha wavuni.

Kabla ya Chirwa kuuwahi, Razak alikuwa na nafasi nzuri zaidi lakini kuufuata kwa mbwembwe, kulisababisha Chirwa auwahi na kipa huyo akakosea zaidi baada ya kufunga macho.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic