January 28, 2018


Mechi ya leo dhidi ya Majimaji ya Songea ndiyo itaamua Mfaransa, Pierre Lechantre anapanga kikosi chake kwa mwendo upi.

Kocha huyo anaanza kazi rasmi leo akikaa kwa mara ya kwanza katika benchi la Simba wakati timu yake itakapoivaa timu hiyo ambayo haijapoteza dhidi ya Yanga, Azam FC na Singida United.

Lechantre atapanga kikosi kwa aina tatu ya mambo, kwana ushauri wa kocha Masoud Djuma, pili kwa alivyowaona wachezaji wake yeye akiwa jukwaani dhidi ya Singida United na pia kwenye runinga dhidi ya Kagera Sugar.


Baada ya hapo, atakuwa akiangalia wanaofanya vema kuhakikisha anapata kikosi anachotaka.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic