January 31, 2018



Pierre-Emerick Aubameyang na Henrikh Mkhitaryan wamekutana tena na kuungana pamoja.

Wawili hao waliwahi kucheza pamoja katika kikosi cha Borussia Dortmund cha Ujerumani.

Wawili hao wamekutana leo katika mazoezi ya Arsenal wakati Aubameyang rasmi akitua na kujiunga na Arsenal akitokea Dortmund wakati mwenzake alijiunga na Arsenal hivi karibuni akitokea Man United.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic