January 2, 2018



Aliyekuwa mtangazaji mwandamizi wa Radio Uhuru, Limonga Justin Limonga amezikwa leo katika makaburi ya Mbagala jijini Dar es Salaam.

Limonga aliyefariki dunia juzi, aliangwa na mamia ya wadau mbalimbali wa michezo wakiwemo waandishi wa habari na wanamichezo.

Shughuli za kumuaga Limonga zilifanyika katika Viwanja vya Mbagala Zakheem na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa Serikali na wale wa kisiasa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic